Kama kawaida ya Michelle Obama huwa designers hawamkosei kumvalisha, Unaweza kum define Michele kama mwanamke aliyeenda umri lakini yupo on fashion sio tu kwenye kuvaa bali pia hata mwili wake amejitahidi kuuweka kisichana zaidi kitu ambacho kina wapa urahisi designers kumshonea nguo zinazo fit vizuri mwili wake mzuri.
Just enjoy the show ungalie style za First Lady wa United States of America kipindi mumewe yupo madarakani. Tunaanza na evening dresses zitakazo kuinspire..
1.Evening dressses
2.Office/ Outfit for Church