Hello malkia wa nguvu, leo ni siku nyingine nzuri, jumatatu ya leo ningependa kuwa onesha collection ya nguo za ofisini kwa wanawake.Zama hizi sio kama zamani, kulikua na restrictions sana kwenye suala la mavazi ya kiofisi especially kwa wanawake na wasichana, unakuta ofisini kuna restrictions za kuvaa mavazi ya rangi rangi, au magauni.